RATIBA YA MECHI ZA LEO ALHAMIS TAREHE 29 DECEMBER SIMBA UWANJANI LEO MECHI NYINGINE HIZI HAPA



  Image result for ratiba ligi kuu bara


Leo tarehe 29 December ligi kuu ya Tanzania bara inatarajia kuendelea kwa michezo kadha katika uwanja wa uhuru jijini Dar Es Salaam vinara
wa ligi Simba sport club itakuwa uwanjani kukipiga dhidi ya vijana wa Masau Bwile Ruvu Shooting
Leo Simba wataiongia uwanjani kusaka alama tatu huku wakimkosa kiungo wao mshambuliaji Ibrahim Ajibu ambaye ametimkia huko Misri kwajili ya kufanya majribio ili aweze kupata nafasi ya kucheza soka la kulipwa hukoMisri 

BOFYA HAPA KUANGALIA RATIBA,MATOKEO PAMOJA NA MSIMAMO WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA 2016/17
http://www.flashscore.com/soccer/tanzania/ligi-kuu-bara/

Comments