SABABU YA POLISI WA KIUME UGANDA KUVAA VIATU VYA KIKE HII HAPA
Polisi Uganda wakiwa wamevalia viatu vya kike |
Polisi hao walikuwa wanashiriki katika matembezi yafahamikayo kama 'Walk A Mile in Her Shoes' (Tembea Maili Moja na Kiatu Chake).
Picha za maafisa waliovalia viatu hivyo zimesambazwa sana mtandaoni.
Polisi hao waliandaa matembezi hayo kwa ushirikiano na mashirika ya kutetea haki za wanawake.
Lakini sasa limekuwa shirika kubwa na kila mwaka maelfu ya watu hushiriki kuchangisha pesa za kusaidia vituo vinavyowasaidia waathiriwa wa ubakaji, waathiriwa wa dhuluma nyumbani pamoja na miradi inayokabiliana au kupinga dhuluma na unyanyasaji wa wanawake.
Polisi Uganda |
Comments
Post a Comment