Skip to main content
Search
Search This Blog
UKWELI 100%
Pages
Home
HABARI
MAGAZETI
MICHEZO
BURUDANI
AUDIOS
VIDEOS
More…
Share
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Posted by
Unknown
December 10, 2016
SIJAACHIA MUZIKI NIMFUNIKE MTU "DARASSA"
Darassa amefunguka kuwa hakuachia wimbo wa ‘Muziki’ kwa ajili ya kumfunika msanii mwingine wala wimbo wowote.
Hivi karibuni baadhi ya mashabiki wamekuwa wakidai kuwa rapper huyo ameachia wimbo huo kwa ajili ya kufunika baadhi ya nyimbo zilizotoka hivi karibuni kwa kuwa si muda mrefu sana ameachia wimbo mpya tangu alipoachia wimbo wake wa ‘Too Much’.
Rapper huyo anayetajwa kuwa namba moja kwa sasa, amekiambia kipindi cha Friday Night Live cha EATV, “Sijatoa ‘Muziki’ ili kufunika ngoma ya mtu yoyote. Nimetoa ‘Muziki’ kama sehemu ya mipango yangu.”
Kwa sasa wimbo huo umekuwa ni kama wimbo wa taifa huku ukiwa umejiwekea rekodi yake ya kutazamwa mara milioni moja ndani ya wiki mbili.
Msanii Wa Muziki Wa Kizazi Kipya Tanzania Darasa
Comments
Popular Posts
Posted by
Unknown
November 02, 2015
MATOKEO YA DARASA LA SABA MWAKA 2015/16 HAYA HAPA
Posted by
Unknown
December 15, 2016
Audio | P-Square ft Akon – Bedroom | Mp3 Download
Comments
Post a Comment