UKIKAA MUDA MREFU BILA KUFANYA MAPENZI UNAPATA MADHARA HAYA HAPA

Image result for MAPENZI

kwa wale mnaokaa muda mrefu bila kushiliki tendo la ndoa timu ya wataalamu wa saikolojia wametoa Ripoti kuwa kuna matatizo mengi ukikaa muda mrefu bila kushiliki tendo la ndoa haya ni baadhi ya matatizo hayo




  • Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,
  • kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
  • Kusahausahau,
  • Kupendelea story za mapenzi,
  • Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
  • Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
  • Kuumwa na kichwa,
  • Kukakamaa mgongo (wanaume),
  • Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
  • Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
  • Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
  • Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala

kama ulevi n.k.

Comments