UMEME KUPAA KUANZIA MWAKANI EWURA WABARIKI UMEME UPAE
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imekubali maombi ya Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuongeza bei ya umeme.
TANESCO
waliomba kuongeza umeme kwa asilimia 18.9 lakini baada ya EWURA kufanya
mchakato wamekubali ombi la kuongeza bei ya umeme kwa asilimia 8.5
kuanzia mwezi January 2017.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema kuwa asilimia hizo 8.5 zitakazo ongezeka kuanzia mwezi January 2017 hazita wagusa watumiaji wa umeme ambao matumizi yao hayazidi Unit 75 kwa mwezi.

Comments
Post a Comment