WANAUME WANAOCHEZA SANA KWENYE SHEHERE WANA TATIZO HILI

Waziri Wa Afya wa Afrika ya Kusini Aaron Motsoaledi
Waziri wa Afya wa Afrika Kusini, Aaron Motsoaledi amezua mshangao mkubwa nchini humo baada ya kuwaonya wasichana akisema kuwa wanaume ambao hucheza sana kwenye sherehe na kumbi za starehe
huwa na maumbile madogo ya uume.

Wanaume hawa huwa na fedha nyingi sana  na wanapokuwa katika kumbi za starehe hununua vinywaji vya ghali sana kiasi kwamba ni rahisi kuwavutia wasichana. Mara nyingi hupenda kucheza katikati ya ukumbi au hata juu ya meza sababu hupenda kuonekana na watu. Kaa mbali nao watakuambukia UKIMWI na maumbile yao ya siri madogo, alisema waziri huyo.

Lakini pia Waziri aliwaasa watu kuchukua tahadhari na kutumia kinga ili kujizuia na magonjwa ya ngono na mimba ambazo hazitarajiwi.

Audha, Waziri Aaron aliwataka wanaume haoa wenye maumbile madogo sehemu za siri kukaa mbali na watoto wa kike. Tunawatazama kaeni mbali na watoto hawa, alisema waziri.

Comments