ZIKA YAPIGA HODI TANZANIA
Dkt. Mwele Malecela (wa kwanza kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) |
Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Dkt. Mwele Malecela, amesema hayo leo Jijini Dar es Salaam, na kusema kuwa kuwa hali hiyo inatokana na hali ya hewa na kijiografia hapa nchini kufanana na ile ya nchi ambazo zina mbu wanaoambukiza ugonjwa huo.
Aidha, Dkt Malecela amesema utafiti ulifanywa na taasisi hiyo umebaini kuwa idadi kubwa ya vijana nchini wanakabiliwa na udhaifu wa kiafya unaotokana na ulevi wa kupindukia kupitia unywaji wa pombe maarufu kama viroba kiasi kwamba hali hiyo hivi sasa imegeuka kuwa janga la kitaifa kwani pombe ni moja ya kichocheo cha maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Comments
Post a Comment