AIR PORT YA CHINA YASIMAMISHA KAZI KWA MUDA MARA BAADA YA OSCAR KUTUA MAELFU YA WATU WAJITOKEZA KUMPOKEA
Jumatatu ya January 2 2017 aliyekuwa kiungo wa Chelsea ya England raia wa Brazil
Oscar aliwasili katika timu ya Shanghai SIPG ya China iliyomsajili kwa dau la pound milioni 52.
Oscar ambaye atakuwa akilipwa mshahara wa pound 400,000 kwa wiki aliwasilia ShanghaiPudong Airport na kupokelewa na mashabiki wa timu hiyo sambamba na vyombo vya habari.
Comments
Post a Comment