DIAMOND, AY, ALIKIBA NAVY KENZO KUIWAKILISHA TANZANIA HIPIPO AWARDS 2017

Diamond, AY, Alikiba na kundi la Navy Kenzo ni wasanii kutoka Tanzania wanaowania Hipipo Awards 2017 Uganda.
Katika tuzo hizo Diamond ndio msanii pekee wa Tanzania aliyechaguliwa katika vipengele vingi ambavyo ni vinne akifuatiwa na AY, Alikiba pamoja na Navy Kenzo ambao wote wamewekwa katika vipengele viwili huku waliobakia wakiwania tuzo hizo katika kipengele kimoja.
Tuzo hizo zinatarajia kutolewa Jumamosi ya Februari 4 ya mwaka huu katika ukumbi wa Kampala Serena Hotel.

Comments