MWANAFUNZI MWINGINE AFANYIWA UMAFIA MBEYA APIGWA BAKORA TISA ACHANIWA SURUALI NA KUTEMBEZWA MTUPU MADARASANI SHULE NZIMA MWENYEWE AFUNGUKA KISA KIZIMA KIPO HAPA SIKILIZA HIYO AUDIO

Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Iyanga jijini Mbeya amepigwa bakora tisa kuchaniwa suruali na walimu na kutembezwa madarasa yote ya shule hiyo akiwa mtupu baada ya kugundulika amevaa sare ambayo haikutakiwa kuvaliwa siku hiyo.
Story kamili sikiliza hiyo Audio hapo chini........

Comments

Popular Posts