MWENYEKITI WA KITONGOJI AELEZEA MGOGORO ULIOJITOKEZA KATIKA SHUGHULI ZA MAZISHI YA MKAZI WA KITONGOJI HICHO BAADA YA KUGUNDULIKA KUWA MWILI WA MAREHEMU HAUKUWA NA BAADHI YA VIUNGO YAKIWEMO MASIKIO

Ile taarifa kutoka Matundasi Chunya mkoani Songwe kuhusu maiti ambayo imezua utata baada ya kuonekana haina masikio na vijana kususia kuzika kwa muda hii hapa sauti ya Mwenyekiti wa kitongoji cha Kisimani Laurenti Kisalala msikilize.....

Comments

Popular Posts