NIMEKUWEKEA HAPA PICHA ZOTE A TO Z HATUA ZA KUFUKUA KABURI NA KUTOA JENEZA AMBALO LILIFUKIWA BILA KUWEPO MWILI WA MAREHEMU NDANI MAKABURI YA ISANGA KATA YA IGANZO JIJINI MBEYA

Mwili wa mtoto Haron Jairo Kyando ambao ulisahaulika ndani hapo jana na watu kwenda kuzika jeneza tupu na kurejea kuukuta ndani hatua iliyowashangaza wengi na hatimaye leo mapema watu kuamua kufukua kaburi na kukuta jeneza tupu likiwa halina kitu ndani.


PICHA NA ENOCK SAIMON










Dismass Mathias mwandishi wa habari wa Big Star FM 106.5







Comments