SIKU CHACHE BAADA YA MWILI WA MAREHEMU KUSAHAULIKA NDANI NA KUZIKWA JENEZA TUPU MKOANI MBEYA MAPYA YAIBUKA MAITI YAKUTWA IMEKATWA MASIKIO NA KUNYOFOLEWA MACHO VIJANA WAULIZA KULIKONI WASUSA KUCHIMBA KABURI
Ni baada ya jiji la Mbeya kutikiswa kwa tukio la kuzikwa jeneza tupu sasa maiti yakutwa haina macho wala masikio huko Makongorosi Chunya vijana wasusia kuchimba wataka maelezo ya kutosha.
Habari kamili itakujia hivi punde.............................Baki nasi
Comments
Post a Comment