UTEUZI MWINGINE WA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI TAREHE 17/01/2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, amemteua Jaji Ibrahimu Juma kuwa Kaimu Jaji mkuu wa Tanzania. Profesa Ibrahimu anachukua nafasi ya Jaji Othuman Chande ambayeamestaafu. Kabla ya kuteuliwa kushika nafasi ya Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Jaji Prof. Ibrahim Juma alikuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania.
 
 

Comments