RATIBA YA ROBO FAINALI FA HII HAPA CHELSEA VS MAN UNITED
- Michuano ya Kombe la FA imetinga hatua ya robo fainali au raundi ya 6 na sasa vigogo Manchester United watakutana na Chelsea katika hatua hiyo.
Man
United ambao wamewang’oa Blackburn kwa kuwachapa mabao 2-1, wanakutana
na Chelsea katika mechi zitakazopigwa kati ya Machi 10 hadi 13.
Arsenal
wanaonekana kupata mchekea kwa kuwa wakiishinda Sutton wanakutana na
Lincoln City huku Tottenham walioishindilia Fulham kwa mabao 3-0 yote
yakifungwa na Harry Kane, wakiwa wamepangiwa kucheza na Millwall.
- RATIBA
- Chelsea v Manchester United
- Middlesbrough v Huddersfield or Man City
- Tottenham v Millwall
- Sutton or Arsenal v Lincoln City
Comments
Post a Comment