AUDIO: PROFESA LIPUMBA AMTAJA MKAPA KUHUSIKA NA MIKATABA YA USAFIRISHAJI MCHANGA NJE YA NCHI
Endelea kutembelea blog yetu kuwa wa kwanza kuhabarika kwa maoni na ushauri +255 766 086 039 +255 625 715 167 +255 744 063 802 +255 719 980 891 +255 684 219 786
Profesa Ibrahimu Lipumba |
Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof. Ibrahim Lipumba amemtaja rais wa awamu ya tatu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa kuwa ndiye aliyesaini mikataba ya kusafirisha mchanga wa madini nje ya nchi kwenda kuchenguliwa chini ya mkataba wa MIGA.
Katika mazungumzo hayo pia amewataka watanzania kuungana na kuwa kitu kimoja katika kipindi hiki ambapo kama taifa tunapitia katika kipindi kigumu cha kupigania rsilimali zetu.
Zaidi ingia kwenye link hapo chini kumsikiliza⇓
Comments
Post a Comment