UPDATE: MKURUGENZI MKUU TMAA AFUTWA KAZI WATENDAJI WENGINE WAWEKWA KITIMOTO
Endelea kutembelea blog yetu kuwa wa kwanza kuhabarika kwa maoni na ushauri +255 766 086 039 +255 625 715 167 +255 744 063 802 +255 719 980 891 +255 684 219 786
Rais wa jamhuri ya
muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amemfuta kazi mkurugenzi mkuu wa Wakala wa Madini Tanzania (TMAA) kwa kushindwa kusimamia vizuri kazi
yake.
Rais magufuli amemfuta
kazi mkurugenzi huyo muda mfupi tu baada ya kupokea taarifa ya kamati ya
kuchunguza mchanga wa madini (makinikia) yanayopatikana maeneo mbalimbali hapa
nchini.
Katika hatua nyingine
rais ameivunja pia bodi ya TMAA na kuvitaka vyombo vya ulinzi na usalama
kuhakikisha vinawafuatilia watendaji wote wa TMAA na kuwachukulia hatua
stahiki.
Comments
Post a Comment