VIDEO: SISI HATUNA UGOMVI NA WAANDISHI WA HABARI; "IGP ERNEST MANGU"




Endelea kutembelea blog yetu kuwa wa kwanza kuhabarika kwa maoni na ushauri +255 766 086 039 +255 625 715 167 +255 744 063 802 +255 719 980 891 +255 684 219 786



Inspekta Jenerali wa Polisi Tanzania (IGP) Ernest Mangu leo amezungumzia suala la kukamatwa kwa waandishi wa habari kule Arusha waliokwenda kwenye kukabidhi rambirambi kwa wazazi na walezi ambao watoto wao walipata ajali Karatu wanafunzi wa shule ya Lucky Vincent.

Zaidi msikilize hapo;
 


IGP Ernest Mangu




Comments