MANJI AONDOKA YANGA BARUA YAKE YAELEZA MAFANIKIO YA KLABU HIYO

Endelea kutembelea blog yetu kuwa wa kwanza kuhabarika kwa maoni na ushauri +255 766 086 039 +255 625 715 167 +255 744 063 802 +255 719 980 891 +255 684 219 786
Aliyekuwa mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusuf Manji


Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji amejiuzulu wadhifa  huo akidai kuwa anatoa nafasi kwa watu wengine kuiongoza.

Kupitia barua yake iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Manji amesema kuwa anaondoka akiamini ameiacha Yanga ikiwa timu yenye mafanikio kisoka nchini.
"Muda wangu wa kutangaza kuwa ninakaa pembeni kutoka kwenye nafasi ya uenyekiti ni sasa. Tayari tumekuwa mabingwa watetezi mashindano tena tuna kizuri cha wachezaji na makocha. Tumeungana kwa pamoja haijawahi kutokea, " imesema sehemu ya barua hiyo.

BARUA HII HAPA ISOME



Comments