MPYA: BAADA YA MUHONGO KUPEWA MUDA WA KUJIFIKIRIA KUNG'ATUKA HATIMAYE RAIS KAAMUA KUMNG'ATUA
Endelea kutembelea blog yetu kuwa wa kwanza kuhabarika kwa maoni na ushauri +255 766 086 039 +255 625 715 167 +255 744 063 802 +255 719 980 891 +255 684 219 786
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Mwijarubi
Muhongo kuanzia leo tarehe 24 Mei, 2017.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa nafasi ya Waziri wa Nishati na Madini itajazwa baadaye.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa nafasi ya Waziri wa Nishati na Madini itajazwa baadaye.
Comments
Post a Comment