MPYA: HOTUBA YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUSOMA JUMATATU BADALA YA KESHO

Endelea kutembelea blog yetu kuwa wa kwanza kuhabarika kwa maoni na ushauri +255 766 086 039 +255 625 715 167 +255 744 063 802 +255 719 980 891 +255 684 219 786



Hotuba ya Bajeti ya Nishati na Madini iliyotakiwa isomwe kesho, imeahirishwa na badala yake itasomwa Jumatatu.

Kwa mujibu wa mabadiliko ya ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Bunge jana, badala ya bajeti ya Nishati na Madini kusomwa kesho, itasomwa ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya makazi.
Ofisi ya bunge imesema bajeti ya Wizara ya Ardhi itasomwa na kujadiliwa kwa siku mbili. 




Comments