MSANII KUTOKA NCHINI RWANDA KUACHIA REMIX YA WIMBO WAKE ALIOFANYA NA AY

Endelea kutembelea blog yetu kuwa wa kwanza kuhabarika kwa maoni na ushauri +255 766 086 039 +255 625 715 167 +255 744 063 802 +255 719 980 891 +255 684 219 786
Yvan Buravan
Msanii wa Afro, RnB, Pop & Soul Yvan  Buravan kutoka nchini Rwanda ambaye ameimba wimbo wa Just Dance amesema ameshirikisha msanii Ambwene Yessaya AY kutoka Tanzania kwenye remix ya wimbo huo.

Kupitia ukurasa wake wa twitter Yvan ameandika "With AY Just a dance remix coming soon..Thanks for your endless support,be blessed. Rwanda/Tanzania"


With AY Just a dance remix coming soon..Thanks for your endless support,be blessed. Rwanda/Tanzania

Comments