AUDIO: MASWALI YAMPONZA MWANDISHI WA THE GUARDIAN APIGWA




Endelea kutembelea blog yetu kuwa wa kwanza kuhabarika kwa maoni na ushauri +255 766 086 039 +255 625 715 167 +255 744 063 802 +255 719 980 891 +255 684 219 786


Greg Gianforte, mgombea wa Republican katika uchaguzi Montana huenda akashtakiwa kwa kosa la  kumshambulia mwandishi wa habari Jumatano usiku.
Ugomvi mkali ulitokea katika makao makuu ya Gianforte.Sauti ambayo imepatikana inaonesha kutoelewana kati ya mgombea huyo na mwandishi wa habari wa kisiasa wa gazeti la The Guardian Ben Jacob na hatimaye sauti ya shambulizi ikasikika.
Zaidi sikiliza hapa;






Comments