TRUMP YUPO BRUSSELS KUZUNGUMZIA NATO ANAYOIKOSOA
Endelea kutembelea blog yetu kuwa wa kwanza kuhabarika kwa maoni na ushauri +255 766 086 039 +255 625 715 167 +255 744 063 802 +255 719 980 891 +255 684 219 786
Rais
wa Marekani Donald Trump yuko mjini Brussels kwa kile kinachotajwa kuwa
mazungumzo magumu na wanachama wa Nato.
Trump
anatarajiwa kukutana na maafisa wa Ulaya leo Alhamisi.
Amekuwa
mkosoaji wa NATO na Muungano wa Ulaya.
Baada
ya kuwasili mjini Brussels, Bwana Trump alikutana na mfalme na malkia wa
Ubelgiji huku maelfu ya watu wakiandamana kupinga kuwepo kwake mjini Brussels.
Mapema
Trump alikutana kwa muda mfupi na Papa Francis huko Vatican.
Bwana
Trump amewalamua wanachama wengine wa NATO kwa matumizi ya chini kwa ulinzi
kuliko kiwango kilichoafikiwa cha asilimia mbili ya pato la nchi.
Kabla
ya mkutano wa leo Alhamisi , waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Rex Tillerson
aliwaambia waandishi wa ahabriu kuwa Trump anataka kuwashinikiza wanachama wa
NATO kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
Bwana
Tillerson alisema kuwa Rais Trump ambaye ameshinikizwa na mataiafa ya Ulaya kuunga
mkono mkataba kuhusu hali ya hewa wa Paris, bada hajafanya uamuzi ikiwa
Marekani iatajiondoa kwenye makubaliano hayo.
Comments
Post a Comment