WAANDAMANAJI BRAZIL WAPIGWA MABUMO YA MACHOZI, RISASI ZA MPIRA

Endelea kutembelea blog yetu kuwa wa kwanza kuhabarika kwa maoni na ushauri +255 766 086 039 +255 625 715 167 +255 744 063 802 +255 719 980 891 +255 684 219 786



Askari wa kulinda majengo ya serikali Brazil wamelazimika kutumia gesi ya kutoa machozi na risasi za mpira kuwatawanya  maelfu ya waandamanaji waliokuwa wakishinikiza kuachiliwa kwa Rais Michel Temer

Vyama vya mrengo wa kushoto na vyama vilipanga maandamano ya amani  lakini yakageuka kuwa  vurugu na kuwalazimisha polisi kutumia mabomu ya machozi na risasi za mpira

Comments